Saturday, January 11, 2025
spot_img
HomePromotionsWakilisha Team Yako ya Mtaa: Ishinde Full Soccer Kits Courtesy of...

Wakilisha Team Yako ya Mtaa: Ishinde Full Soccer Kits Courtesy of JamboBet Kenya!

 

Niaje wasee wa power! Kama kawaida, Jambobet Kenya imekuja na challenge nyingine moto yenye singependa u miss out. This  time round ni rahisi sana na kila mtu anaweza participate, haijalishi ni nani . Hii ni chance yako ya kuwakilisha mtaa yako ama ile area we unatulia ndio team yako ingare  na  full soccer kits courtesy of JamboBet!

ku participate kwa hii challenge  follow hizi steps:

  1. Nominate Team Yako ya Mtaa – Chugua team yako ya mtaa. hii tunamaanisha any team ya pale area yako.Jina ya team na mtaa inatoka
  2. Enda kwa Jambobet Kenya Facebook Page – Kama bado hujafollow page yetu ya Jambobet Kenya, enda hapo mara moja, finya hiyo button mara that that. Follow page yetu ndio usipitwe na hizi challenge kali kali .
  3. JamboBet Post Challenge  – Ukiona tumedondosha challenge kwa Facebook, kimbia kwa comment section.
  4. Action ya challenge – Rusha jina la team yako na mtaa inacheza. Tumia marafiki zako na fans kuhakikisha hiyo comment yako inapata most likes na shares
  5. Winning criteria ya Full Soccer Kit! – Ile comment yenye itaangukia likes na shares mob, team yao inashinda full soccer kit, kuanzia kwa goal keeper hadi kila msee anachezea hiyo team
Jambobet Kenya inakupa chance ya ku Wakilisha Team Yako ya Mtaa ishinde Full Soccer Kit
Jambobet Kenya inakupa chance ya ku Wakilisha Team Yako ya Mtaa ishinde Full Soccer Kit

Kitu ingine very important:

Wasee wote wenye wanacheza kwa hiyo team ume nominate, lazima wa register kwa platform ya Jambobet. imajin after izo steps next ni kushinda tu

Timeline ya Contest:

  • Start Date: 28th October 2024
  • End Date: 4th November 2024
  • Winner Announcement: 5th November 2024

Sa, unangoja nini? nominate mapema. Team yako ikishinda, nyi wote mnasetiwa na full soccer kit!Just nominate, pata likes na shares, na team yako ingare.

 

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments